Samuel Is Inviting You in the World Of Thinkers
|
|
comments (0)
|
Kwa maombi ya Wapenzi wa Blog wameniomba niitume hii. Baada ya wiki iliyopita kuangalia mambo ya Pembe Tatu....
Kati ya rasilimali zisizotunzwa vema na Jamii yetu ya Wakristo, Watanzania na Afrika kwa ujumla muda unaongoza kwa kupotezwa.Kuna watu huwa wanajiuliza ni kwa namna gani masaa 24 yameisha wakati shughuli zao hazijaisha na wakati huo huo kuna watu wanajiuliza jinsi siku ulivyokuwa ndefu, sababu gani hawakuwa na chakufanya, cha kujiuliza...
Read Full Post »|
|
comments (1)
|
We all have low inspiration, low energy days. One option is to simply grit your teeth and power through your fatigue. If that works for you, power to you. But for the rest of us weaker willed individuals, all hope is not lost according to a recent post by blogger Ali Luke on Dumb Little Man. Instead of relying on the brute force of willpower to get through lazy periods, Luke suggests you take the less painful route, acknowledge your inner toddler and simply trick y...
Read Full Post »|
|
comments (0)
|
Marafiki Huru natumaini hatujambo kabisa.
Sina budi kumshukuru Mungu kwa siku ya tarehe 14 November, 2010 ilikuwa ninaadhimisha siku yangu ya kuzaliwa kama ambavyo nimekuwa nikiadhimisha kila mwaka. Kama ilivyo ada sikuwa nimepanga chochote zaidi ya kuwa na muda wa kutafakari ngwe inayofuata ya utu uzima ninafanyaje. Mwaka huu baadhi ya marafiki mliamua kusheherekea siku hii...
Read Full Post »|
|
comments (0)
|
UNAUTUNZAJE MUDA WAKO?
Kati ya rasilimali zisizotunzwa vema na Jamiiyetu ya Wakristo, Watanzania na Afrika kwa ujumla muda unaongoza kwa kupotezwa.Kuna watu huwa wanajiuliza ni kwa namna gani masaa 24 yameisha wakati shughulizao hazijaisha na wakati huo huo kuna watu wanajiuliza jinsi siku ulivyokuwandefu, sababu gani hawakuwa na chakufanya, cha kujiuliza hivi ni kweli hawakuwana chakufanya?
Kuna Msemo unasema no hurryin Africa. Rafiki yangu ambaye alizal...
Read Full Post »|
|
comments (2)
|
Marafiki
Kati ya matatizo makubwa ambayo nimegundua yanahitaji tiba ya haraka
kwenye kizazi chetu na kile Kijacho ni “Kufahamu” na “Kujiamini”.
Sijajua kama watu hawajui ndo maana hawajiamini ama wanahitaji hamasa
ya kuhamasishwa kuwa wajiamini kuwa wanaweza hata kama hawawezi.
Nimekuwa na mawazo sana kwa ajili ya Kizazi chetu na kile kijacho na
kubaini tuna changamoto kubwa. Mimi ni mpenzi wa kipindi cha SKONGA
kwenye Channel 5,...
|
|
comments (0)
|
Marafiki Natumai tuko Pamoja.
Kwa wale tulioonana Kwenye Sifa Zivume na wengine kuwasiliana inanipa Faraja kubwa kuona Marafiki Huru tupo Pamoja.
Kutokana na umasikini wa fikra miongoni mwetu tumesahau kuwa sisi wenyewe tunahitaji kuwa na maisha mazuri na kuwa na wakati wa kupumzisha akili kutokana na shughuli za Kila siku. Sisi tunahitaji kujipongeza kwa maana yakujipa offer wenyewe ya kula, kuvaa hata kupumzika pale inapobidi. Wengi wetu tunafurahia tun...
Read Full Post »|
|
comments (0)
|
Marafiki Natumai tuko Pamoja.
Kwa wale tulioonana Kwenye Sifa Zivume na wengine kuwasiliana inanipa Faraja kubwa kuona Marafiki Huru tupo Pamoja.
Kutokana na umasikini wa fikra miongoni mwetu tumesahau kuwa sisi wenyewe tunahitaji kuwa na maisha mazuri na kuwa na wakati wa kupumzisha akili kutokana na shughuli za Kila siku. Sisi tunahitaji kujipongeza kwa maana yakujipa offer wenyewe ya kula, kuvaa hata kupumzika pale inapobidi. Wengi wetu tunafurahia tun...
Read Full Post »|
|
comments (2)
|
Jana siku Ya tarehe 26 September, 2010 Kamera Yangu ya Blog ilikuwa imeangazia Matukuo Makubwa Mawili. Fuatana nami katika Blog yangu.
TAMASHA LA SIFA ZIVUME LAVUMA KATIKA JIJI LA DAR-ES-SALAAM
Jana siku ya tarehe 26 Spetember, 2010. Katika ukumbi wa Mlimani City Conference Centre katika jiji la Dar-es-Salaam kulilindima kundi kubwa la wakazi wa jiji hilo kwa ajili ya Tamasha Kubwa la Kusifu na Kuabudu lililopewa jina la SIFA ZIVUME.
Tangu mnamo sa...
Read Full Post »